iqna

IQNA

Mitume wa Mwenyezi Mungu
Qur'ani Tukufu Inasemaje /40
TEHRAN (IQNA) – Kuna nafasi tatu ambazo kila Mtume wa Mwenyezi Mungu amepewa angalau moja kati ya hizo na utume unaotokana na nafasi hiyo.
Habari ID: 3476236    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12

Sura za Qur'ani Tukufu /19
TEHRAN (IQNA) – Bibi Maryam, mama yake Nabii Isa (AS), ametajwa ndani ya Qur'ani Tukufu kuwa ni mwanamke mwema aliyetakasika, ambaye hakuwa mtume bali alilelewa kama nabii na ambaye mwenendo wake ulikuwa kama ule wa Mitume wa Mwenyezi Mungu .
Habari ID: 3475521    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/21

Sura za Qur'ani Tukufu /11
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na aya zinazozungumzia rehema ya Mwenyezi Mungu, kuna aya katika Qur’ani Tukufu zinazozungumzia uadilifu wa Mwenyezi Mungu na jinsi wakandamizaji na madhalimu wanavyoadhibiwa. Baadhi ya aya kama hizo zimo katika Surah Hud.
Habari ID: 3475397    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19